Wadau Wetu

University of Dar es salaam (Department of Foreign Language and Linguistics)
Maeneo maalumu ya ubia: Kutoa mafunzo ya weledi ya ukalimani wa Lugha ya Alama..
Mawasiliano
Dr. Rose Upor - Principal College of Humanities
SLP 35091 Dar es salaam
Barua Pepe: postgraduatecoh@udsm.ac.tz

The Foundation for Civil Society FCS.
Mfumo wa utetezi kwa ajili ya kulinda haki za bianadamu kwa viziwi kupitia ushirikiano na idara ndani ya wizara mbalimbali na asasi za kiraia.
Mawasiliano
Francis Uhadi - Project Manager
SLP 7192 Dar es salaam
Barua Pepe: information@thefoundation- tz.org

MillNeck International
Kujenga uwezo wa jamii ya viziwi wa Kimaasai katika masuala kwa kuwapa stadi za utetezi na kupambana na unyanyapaa.
Mawasiliano
Sarah Houge - M& E Specialist
40 Frost Mill Road- Mill Neck NY 11765 New York- United States of America

Embassy of Finland – Dar es salaam
Kujenga uwezo na kuwezesha ujumuishwaji wa viziwi katika michakato ya serikali za mitaa katika mikoa ya Dodoma na Tanga.
Mawasiliano
Asna Mshana
SLP 2455 Dar es salaam
Barua Pepe: sanomatdar@formin.fi

Community for International Cooperation and Education Development
Kujenga uwezo wa ujumuishwaji kamilifu wa jamii ya vziwi nchini Tanzania.
Mawasiliano
Johnny Baltzersen
Humletovet 3 1799 Copenhagen – Denmark
Barua Pepe:info@ciced.dk

Institutions for Inclusive Development
Kusanifisha Lugha ya Alama ya Tanzania na program za kujenga uwezo. .
Mawasiliano
Ebben Msuya
TRCS Building – Mikocheni
Barua pepe: emsuya@snv.org

Abilis Foundation of Finland
Kujenga uwezo wa wanawake viziwi katika fani ya ujsiliamali.
Mawasiliano
Rafiki Msafiri
Tanzania Country Programme Arusha- Tanzania
Barua Pepe: tanzania.country.coordinator@abilis.fi