Habari na Matukio

25 Apr

Picha ya pamoja iliyopigwa mara baada ya tukio la ufungaji wa maadhimisho ya kitaifa ya wiki ya viziwi jijini Dodooma wakiwemo Waziri wa elimu sayanzi na teknolojia Mh. Prof. Joyce Ndalichako , Mwenyekiti wa bodi ya ushauri na mlezi wa CHAVITA Bwn. Hashim Ismail – mwenyekiti wa CHAVITA taifa Bwn. Mr. Nidrosy Mlawa CHAVITA , naibu katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia Dr. Ave. Maria Semakafu

25 Apr

Maadhimisho ya wiki ya kimataifa ya viziwi yaliyofanyika jijini Dodoma mwaka 2018. Viziwi wakiandamana kudai utekelezwaji wa sheria ya taifa ya watu wenye ulemavu ya mwaka 2010.