Archives

Author Archive for: "admin"

CHAVITA – TUNATAKA MGAO WETU

CHAMA cha Viziwi Tanzania Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma kimeitaka Halmashauri ya wilaya hiyo kutoa fedha zinazotengwa na serikali kwa ajili ya mfuko wa walemavu wa Ukimwi. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa mradi wa mafunzo yalugha ya alama Wilaya Kondoa Mustaph Shabani, kwenye mafunzo ya lugha ya alama yaliyofadhiliwana shirika la The Foundation for Civic […]

Page 2 of 212